编辑: gracecats 2016-09-04
UKRISTO SAFARI KUTOKAHAKIKA KUELEKEA KWENYE UBUNIFU MWANDISHI: HADHRAT MIRZATAHIRAHMAD MFASIRI: JAMIL R.

RAFIQ i Ukristo - Safari kutoka Hakika kuelekea kwenye Ubunifu Mtunzi: Hadhrat Mirza Tahir Ahmad Kiongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya katika Islam. Chapa ya kwanza: 1994, Uingereza Chapayapili: 1996, Uingereza Chapa ya tatu: 1997, Uingereza TafsiriyaKiswahili: Des. 1999, Tanzania - Nakala

3000 Idhiniyakunakili:IslamInternationalPublicationsLtd. Kimeenezwana: JumuiyayaWaislamuwaAhmadiyya Tanzania S. L. P.

376 Dar es Salaam KimechapwanaAhmadiyyaPrintingPress S. L. P.

376 Dar es Salaam. Tanzania Haki zote zimehifadhiwa. Sehemu yoyote ya kitabu hiki hairuhusiwi kunukuliwa au kuhifadhiwa kwa njia yoyote, mfano kivuli (photocopying) kanda za sauti au njia yoyote ile itakayotumiwa kwa kunakili au kuhifadhi bila ya ruhusa ya waenezaji. ii Habari za Mwandishi HADHRAT MIRZA TAHIR AHMAD Hadhrat Mirza Tahir Ahmad, alizaliwa tarehe

18 Desemba

1928 huko Qadian, India. Yu Khalifa wa Nne wa Masihi Aliyeahidiwa. Yeye ni kiongozi wa kiroho na msimamizi wa shughuli za Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya, na mjukuu wa mwanzilishi wa Jumuiya, Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad, Masihi Aliyeahidiwa a.s. Wadhifa rasmi wa Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya ni: Hadhrat Khalifatul Masih IV - Khalifa wa nne wa Masihi Aliyeahidiwa. iii NENO LA MFASIRI Hadhrat Khalifatul-Masih IV, Kiongozi Mtukufu wa Jumuiya ya Waislam Waahmadiyya , aliniamuru kukifasiri kitabu chake cha Kiingereza CHRISTIANITY- A Journey from facts to fiction kwa lugha ya Kiswahili. Kwa baraka za maombi yake Mwenyezi Mungu amenisaidia na ameniwezesha kutimiza kazi hii kubwa sana. Kitabu hiki naona alikiandika Khalifa wetu Mtukufu kwa msaada maalum wa Allah. Ametumia kipawa chake alichojaaliwa na Mwenyezi Mungu kwa njia iliyo bora sana. Ni kitabu cha ajabu kinacholeta hoja imara sana kuhakikisha ukweli hadi kupenya rohoni. Sidhani kwamba mtu baada ya kukisoma kwa uangalifu anaweza kushindwa kutambua uhakika wa mambo kumhusu Yesu. Ni kazi ya kitaalamu inayoonekana katika kurasa za kitabu hiki. Mungu na ampe Khalifa wetu malipo bora kabisa ya huduma hii njema. Naweka mbele ya wasomaji wetu wajuao Kiswahili tafsiri hii kwa kutegemea ya kwamba wataisoma kwa makini na kunufaika nayo. Jamil R. Rafiq iv YALIYOMO UTANGULIZI.1 1. UANA WA YESU KRISTO

7 Msingi wa Kisayansi wa uzazi.7 Je, mwana halisi wa Mungu anawezekana

9 Hermaphroditism

1 1 Parthenogenesis.1

1 Miujiza ni nini?1

2 Je, Yesu yu Mwana wa Mungu?1

4 2. DHAMBI NA KAFARA

1 9 Kafara kwa mwanadamu

2 0 Dhambi ya Adamu na Hawa

2 1 Mateso ya binadamu yaendelea

2 4 Dhambi ya kurithiwa

2 6 Kuhamishwa kwa dhambi

2 8 Adhabu yaendelea kutolewa.3

0 Uadilifu na Msamaha

3 6 Yesu hawezi kuwa kafara.4

0 Kutoa dhabihu pasipo kupenda

4 1 Nani alitolewa kuwa dhabihu?4

5 Mashaka ya Yesu

4 6 Je, Mungu Baba naye alisumbuka

4 8 Adhabu ya Motoni

4 9 Kujitoa na kufurahia kiroho

5 0 Maana ya kifo kulingana na Yesu

5 1 Adhabu ya kiasi kwa dhambi isiyo ya kiasi

5 3 Kafara ilileta badiliko gani?5

4 3. KAZI YA ROHO MTAKATIFU

5 6 Ushirikiano wa Roho Mtakatifu katika uumbaji. . . .

5 7 Siri ama hitilafu

6 0 v 4. KUSULUBIWA

6 3 Ishara ya Yona

6 5 Ahadi ya Yesu kwa nyumba ya Israeli

67 Mambo yahusuyo tukio la msalaba

6 8 5. KUHUIKA AU KUFUFUKA

7 8 Maneno makali dhidi ya Watukufu

8 7 Kupaa kwake

9 1 Ilitendeka nini kwa mwili wa Yesu?9

2 Maoni ya Waislamu Waahmadiyya

9 6 Mifano ya kuponea chupuchuppu

9 8 6. UTATU

101 Uhusiano wa nafasi tatu zenyewe kwa zenyewe. . . .

下载(注:源文件不在本站服务器,都将跳转到源网站下载)
备用下载
发帖评论
相关话题
发布一个新话题